Huyu ni moja ya viongozi wa Cherubim and Seraphim Movement Church Worldwide, pia ni muanzilishi wa Ayo Nio katika wilaya ya Idimu katika jimbo la Lagos.
Anajulikana kwa jina maarufu la "Special Apostle/Prophet I.T. Adewoye" yaaani ni nabii wakipekee...Alishindwa kuzuia hisia zake za kingono na kujituta katika fumanizi zito la kukutwa na mke wa moja kati ya waumini wa kanisa lake.....HATARI SANA!!!
Zaidi Chini
- See more at: http://bongoline.blogspot.com/2014/04/nabii-it-adewoye-wa-lagos-nigeria.html#sthash.hgpd2rLV.dpuf