FOR THE LAST 4 DAYS THIS BLOG TUMEKUWA KWENYE KAMPENI KUBWA YA KUMSAIDIA MSICHANA ALIYEFANYIWA UNYAMA NA HUYU KIJANA ALIYEMREKODI VIDEO AKIWA UCHI WA MNYAMA NA KUMCHUKUA PICHA ZAKE ZA UCHI WA MNYAMA NA KUZISAMBAZA MITANDAONI BAADA YA KUWACHWA NA MSICHANA, MPAKA LEO TUMEFANIKIWA KUZISHAWISHI BLOG 5 KUONDOA HUO UCHAFU, PLEASE KAMA UNAMFAHAMU MMILIKI WA BLOG YOYOTE YENYE ULE UCHAFU MUOMBE AZITOE HUYU MSICHANA AMEONEWA BURE, NIMEONGEA NA WOTE WAWILI ONE ON ONE NI VERY CLERA KWAMBA MSICHANA AMEONEWA MAANA HUYU KIJANA HII NI MARA YA PILI ANAMFANYIA MSICHANA HUKO NYUMA ALISHAWAHI KUMFANYIA MWINGINE PIA. WE HAVE TO STOP THIS NA SOMEBODY IS GOT TO DO SOMETHING I AM THE ONE. PEOPLE KAMA UNAMJUA YOYOTE YULE ALIYEWAHI KUMFANYIA MWINGINE UNYAMA KAMA HUU PLEASE NIRUSHIE INFO I WILL PAY FOR IT HALAFU NIACHIE HABARI YAKE!!- LE MUTUZ SYSTEM LIVE!!