HAKUNA WA KUMLAUMU KUJIUNGA KWAO NA AZAM FC NI UAMUZI WAO NA UJIRA ZAIDI, UKWELI NI KWAMBA TANZANIA HAKUNA WA KUSHINDANA NA AZAM AMBAO WANAZIJUA VIZURI SANA YANGA NA SIMBA NA MBINU ZAO ZA KILA SIKU AMBAZO MW1SHO WA YOTE HUWA NI PESA NA KAMA YANGA NA SIMBA HAWATAJIPANGA VIZURI HUENDA AZAM IKAWA BINGWA KILA MWAKA FROM NOW ON, KUSHINDANA NA AZAM NI KAMA ILE VITA YA DAVID NA GOLIATH, TIMES HAVE CHANGED AZAM NI KWA SABABU WALIKUWA WAKIUWEKA USHABIKI WAO WA YANGA NA SIMBA MBELE, LAKINI WAKIAMUA KUUWEKA PEMBENI KAMA MWAKA HUU WALIVYOFANYA YANGA NA SIMBA HAZITAWEZA TENA KUWA MABINGWA TANZANIA NEVER AGAIN!!- LE MUTUZ SYSTEM