Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MAALIM SEFU ALIPOKUTANA NA RAIS MSTAAFU AMANI KARUME LIVE AT THE HOME OF THE ES PRESIDENT LIVE!!

$
0
0

 Hizo ni baadhi ya picha za kikao cha pamoja cha mashauriano baina ya Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dk. Amani Karume, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, na Wajumbe wa Kamati ya Maridhiano wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Mhe. Hassan Nassor Moyo akiwa na Mansoor Yussuf Himid, Mohamed Ahmed Al-Mugheiry (Eddy Riyami), Salim Bimani na Ismail Jussa. Mjumbe mwengine Mhe. Abubakar Khamis hakuweza kuhudhuria kutokana na dharura. Mazungumzo hayo yalifanyika siku ya Jumatano, tarehe 30 Aprili, 2014 nyumbani kwa Dr. Karume huko Mbweni, nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.



Reactions: 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>