"Hakuna kitu kama hicho, hayo ni maneno tu ya watu.Mimi na Ali Kiba ni kama dada na kaka, hakuna linaloendeleaKifupi ni kwamba huyo Kiba mwenyewe sijaonana nae muda mrefu sana"
Habari kutoka kwa familia ya Jack Wolper zinadai kuwa hivi sasa wawili hao wame kuwa pamoja tena baada ya kukutana hivi karibuni na kukubaliana kurudisha penzi lao...
Wolper mara kadhaa amenukuliwa akidai kuwa Ali Kiba ndiye mwanaume aliyembikiri siku za mwanzoni kabisa kuingia jijini Dar wakati huo wote wawili wakiwa siyo mastaa