Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MZEE TELEMUKA CHEKEENCHAA MWEMA MUDJANGA WA MARQUIS KAMANYOLA IS NO MORE!! REST IN PEACE MY MUZEE WA LBT SCANIA KAMANYOLA 111!!

$
0
0


 
WAPENZI WA MAQUIS WATAMKUMBUKA MKONGWE HUYU MZEE MWEMA ALIYEKUJA FAHAMIKA ZAIDI KAMA MZEE CHEKECHA.
PICHA MBILI HAPO JUU NI ZA MZEE CHEKECHA AKIWA KWENYE MAZISHI YA KABEYA BADU MIEZI MICHACHE ILIYOPITA. HABARI ZILIZOTUFIKIA PUNDE NI KUWA MZEE ALIFIA HOSPITALI YA AMANA SIKU YA IJUMAA  TAREHE 6 DESEMBA NA KUZIKWA MAKABURI YA MAGOMENI KAGERA
MUNGU AILAZE PEMA PEPONI ROHO YA MZEE MWEMA MUDJANGA
 
 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>