Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

PICHA YA KWANZA MFANYAKAZI WA IKULU ALIYEANGUKA NA KUFA GHAFLA KWENYE SHEREHE ZA WAFANYAKAZI JUZI HUYU HAPA LIVE!!

$
0
0


http://4.bp.blogspot.com/-dtl8eGePPFQ/U2QPpM6CiOI/AAAAAAAFe9Y/8CM_W4WLu74/s1600/IMG_6188.jpg 
Marehemu Rashid Chilangwa, Mtunza Bustani Mkuu wa Ikulu enzi za uhai wake. Marehemu alifariki dunia siku ya sherehe za Mei Mosi katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam
http://4.bp.blogspot.com/-Nf9QjGojvWY/U2QP-isbFCI/AAAAAAAFe-A/7U-GeJtUnnc/s1600/IMG_6174.jpgMwili wa marehemu ukiombewa kabla ya kupelekwa shambani kwake Kisarawe kwa mazishi
http://1.bp.blogspot.com/-fVh5cqm3TT4/U2QP5kG3EcI/AAAAAAAFe94/JCVroewSJEk/s1600/IMG_6140.jpgViongozi wa ofisi ya Rais Ikulu wakijadiliana na wanafamilia ya marehemu kuhusu mwenendo wa mazishi

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>