Mtoto AMISA MALEBHI(miaka 2 na miezi sita)ambaye ana matatizo ya jicho la kushoto anahitaji msaada wa kupelekwa hospitali ya KCMC Moshi kwa ajili ya matibabu kwa atakayeguswa anaweza kuwasiliana na mama yake mzazi TAUSI HAMISI mkazi wa Ufuluma wilaya ya Uyui mkoani Tabora....Mtoto huyu imeelezwa kuwa endapo atacheleweshwa kupatiwa msaada anaweza kupata Saratani ya Jicho,...KWA HALI NA MALI FANIKISHA MATIBABU YA MTOTO HUYU AMBAYE ANAHITAJI FURAHA KAMA WALIVYO WATOTO WENGINE.
Mama wa mtoto huyo Bi.TAUSI HAMISI akiwa barabarani katika kutafuta msaada wa matibabu ya mtoto wake huku baba wa mtoto huyo AMISA alifariki dunia miezi michache iliyopita baada ya kupata ajali ya pikipiki.Bofya hapa >>>