Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

SUPER STAR DIAMOND PLATZNUM LIVE JANA KENYA NA USHINDI WA BONGO CHALENJI CUP GAME!!

$
0
0

Msanii nyota wa Tanzania, Diamond Plutinums akiimba mbele ya umati wa mashabiki katika ufukwe wa hoteli ya Big Tree Beach Resort mjini Mombasa usiku wa kuamkia leo   katika onyesho maalum la wasanii wa kundi la Kigoma All Stars. Shoo hiyo ilifanyika saa chache baada ya timu ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars kuitoa Uganda katika Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge Uwanja wa Manispaa, Mombasa kwa penalti 3-2 baada ya sare ya 2-2 ndani ya dakika 90.    





Chegge wa TMK naye akifanya vitu vyake Mombasa



Mashabiki wa Tanzania walikuwepo ukumbini

Queen Darleen akiimba


Abdul Kiba alikuwepo pia

Maunda Zorro naye

Mwasiti pia

Hata Peter Msechu

Binti akiikakitikia kamba wakati Chegge anaimba 

Waandishi wa Habari za soka kutoka Tanzania, Somoe Ng'tu kulia na Zaituni Kibwana walikuwepo 

Mashabiki kwa raha zao
Recho pia alifanya vitu

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>