"Wakati dunia bado inahuzunika na kuondokewa na Mzee Mandela...mimi nilikuwa napokea hati ya heshima.....hati ya kutambua mchango wa Hayati baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere alioutoa katika kupambania uhuru wa nchi za africa. Hii hati imetolewa Equador"