Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MKUU WA WILAYA YA HAI MHESHIMIWA NOVATUS MAKUNGA ALIPOTEMBELEA KIVUKO CHA MNEPO KIYUNGI LIVE!!

$
0
0
Mkuu wa wilaya ya Hai Novatus Makunga(Katikati) akiwa na Afisa mtendaji mkuu wa kiwanda cha TPC,,Jaffari Ally(Mbele) na diwani wa kata ya Machame Weruweru,Adris Mandrai baada ya kukagua daraja la Mnepo la Kiyungi.


Mkuu wa wilaya ya Hai Novatus Makunga(aliyekunja mikono kifuani) akijadili jambo kwa pamoja na viongozi wa kata ya Weruweru,kiwanda na TPC na wahandisi wa ujenzi jinsi ya kukarabati daraja la mnepo la Kiyungi.

Baadhi ya wananchi wakivuka mto kwa kutumia kivuko cha mnepo cha Kiyungi.

Diwani wa kata ya Machame Weruweru Adris Mandrai akipita katika kivuko cha mnepo cha Kiyungi

Wananchi wanaotumia kivuko cha Kiyungi

Mwanamama akivuka katika kivuko cha mnepo cha Kiyungi

Viongozi na wataalamu wakijadili jinsi ya kuimarisha kivuko cha Mnepo cha Kiyungi


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>