Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

DIAMOND PLATNUMZ AENDELEA KUWAGALAGAZA WASANII WA AFRIKA KWENYE NOMINATIONS ZA KORA

$
0
0

Pamoja na kwamba tuzo za Kora hazina tena ‘kiki’ kama zamani, Diamond Platnumz ameendelea kuwagalaza wasanii wa Afrika kwakuwa jina lake ndilo limekuwa likitajwa zaidi na mashabiki kwenye akaunti ya Facebook ya tuzo hizo...Click <HAPA>Kuona Page hiyo

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>