$ 0 0 wasanii watano wanao kimbiza kwenye filamu kwa sasa na wanaendelea kushika chati ya juu 1 salma jabu nisha 2 jennifa kyaka odama 3 jackryn wolper 4 irene uwoya 5 wema sepetu hawa wanafanya vizuri kwenye filamu kwa sasa wakati huo nisha anaonekana kung'aa sana kwa miaka hii miwili mfululizo kwa filamu zake sokoni.