Madame Wema Sepetu jana usiku alipona ghafla baada marafiki zake kumshawishi waende kula bata...
Marafiki hao wakiongozwa na Aunt Ezekiel walimfanya Wema ambae iliripotiwa hapo juzi kuwa anaumwa kujiunga nao na kwenda kula bata...Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, Wema ameonyesha kufurahia sana tukio hilo na kusikitika kuwa hakunywa pombe....

Nilivyokutana na matahira wangu wakanitoa.... Dah mgonjwa mimi hata pombe sinywi sasa... Asante sana My kababy and I... Funny faces... Mgonjwa wangu huyu... Ghafla alipona bila kupenda... love you Wema akee mimi apa saaaana saaana saaaana