Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

SHAA, MKALI WA "SUGUA GAGA " AFUNGUKA KUHUSU SIRI YA UZURI WAKE NA MAMBO MENGINE KIBAO.... "I HAVE MANY PAIR OF SHOES AND SOMETIME HUWA NAVIGAWA KWA NDUGU ZANGU"

$
0
0

4. Muonekano gani wa mavazi unautamani kuujaribu?
Natamani sana kujaribu muuonekano wa gosick fashion mara nyingi wanavaa sana Rock stars wa Marekani utamkuta kavaa full black from top to bottom.
5. Celeb gani wa ki-Bongo wanakuvutia kwa mavazi yao?
Actually Madam Rita na Nancy Sumari all the time navutiwa sana ninapowaona kutokana na uvaaji wao.
6. Una pair ngapi za viatu?
I have many pair of shoes, am so crazy man and sometime huwa navigawa kwa ndugu zangu coz siwezi kukaa na kitu bila kukivaa.
7. Uzuri wako unatokana na nini?
Ni kujiweka naturally bila kujirundika make up, so napenda sana kuwa simple coz is the best to me.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>