Marehemu Bi Tabu Mtema, miaka 33 mkazi wakijiji cha BUSULWANGILI (W) Kahama (M) Shinyanga
Mauaji ya kutisha yamezidi kuitikisa kahama baada ya Bi Tabu Mtema, miaka 33 mkazi wa kijiji cha BUSULWANGILI Kahama Shinyanga kuuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana baada ya watu hao kuvamia nyumbani kwa marehemu na kumjeruhi vibaya kwa mapanga.