Diamond Platnumz atazidi kuwa si msanii tu wa kawaida bali ni moja kati ya wasanii wengi wa kimataifa.ukiacha pesa anayotoza treatment na mahitaji yake hadi kumpandisha kupiga show moja si ya kitoto, kaa utulie usikilize mahitaji haya ya Diamond: Kwanza bila kumtonyesha kuanzia milioni 45 kwenda juu, utaishia kuongea naye kwenye simu tu, bila hata ya kuona sura yake, achana na hiyo basi kwanza kama umeshatenga hilo fungu na kufanikisha kumuita kupiga ku-sign contract yake, inabidi umsafirishe kwa private jet au first class plane, akishatua uwe umeshandaa presidential suit katika hoteli yeyote yenye
hadhi ya nyota tano, kama ni Bongo ni Serena hotel pale wakati huohuo uwe umashatenga vyumba maalumu vikubwa kwa ajili ya team yake wakiwemo Dancers,camera man,dj , mlinzi wake na msaidiz, microphone ya pekee na vyakula atavyohitaji yeye, viwe teyari umeshaweka order vitengenezwe, kama
(U-ghari wa diamond unatokana na yeye mwenyewe kuwa brand kubwa, anauwezo wa kujaza uwanja peke yake,lakin pia maandakiz ya kaz zake,nyimbo ama video,hu-invest gharama kubwa,mfano number 1 video orignal na rmx ilitumika zaidi ya million 80,lakin pia ana team aliyowaajili anahitaj awalipe )
Kama ulikuwa unamchukulia Dangote easy, jipange!.