Kijana mmoja amepigwakutoka kwa wafuasi wa Ukawa waliokuwa na mkutano mkoani Morogoro jioni hii baada ya kudaiwa kuwa miongoni mwa waliomteka Mbunge Rose Kamli wakati wa uchaguzi mdogo jimboni Kalenga, mkoani Iringa.
↧
MAJANGAZZ VURUGU ZILIZOTOKEA KWENYE MKUTANO WA UKAWA MOROGORO
↧