Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

"VYUMA VIMEACHIA" DSTV-TANZANIA YATANGAZA KUPUNGUZA BEI YA VIFURUSHI VYAKE LIVE 9/2017.

$
0
0

Habari njema kwa wadau wa kabumbu na wateja wote wa DStv kiujumla! Kuanzia tarehe 1 mwezi wa 9 mwaka 2017 bei zitapungua kama ifatavyo kwa Vifurushi vyote vya DStv:-

 

1.Premium kutoka 184000 mpaka 169000/= tu!
 

2.Compact Plus kutoka 122500/= mpaka 109000/= tu!
 

3.Compact kutoka 82,500/= mpaka 69,000/= tu!
 

4. Family kutoka 42,900/= mpaka 39,000/= tu!
 

5.Bomba kutoka 19,975/= mpaka 19,000/= tu!

Kwa Maelezo zaidi +255789476655

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>