Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

WOLPER KWELI NI MSAGAJI, GEE MODAL ATHIBITISHA HILO

$
0
0
Wakati msanii nyota wa filam jackline wolper akitumia nguvu nyingi kubisha kuwa hajawahi kuwa katika uhusiano wa kisagaji mwanaume ambaye ni mpenzi wake aitwaye Gee Modal au Gerald amekiri kwamba mpenzi 

wake huyo kweli alikuwa msagaji.Kauli hiyo ya Gee modal imeshitua watu wengi na wapenzi wa sanaa kwa ujumla ambao wanasema kamwe hawakuamini mrembo kama huyo ni miongoni mwa watu waliopitiwa na pepo la usagaji.
Katika mahojiano ambayo Gee modal alifanya bab kubwa magazine alisema kwamba jack amewahi kufanya vitendo hivyo vya usagaji kipindi cha nyuma lakini 
sasahivi ameacha.Gee alisema. "YES ALIKUWA BUT NOT NOW"......akaongeza. " si unakumbuka alikuwa anapenda kuvaa kama mwanaume lakini sasahivi anavunja kikike"


Hata hivyo Gerald amekwenda kinyume na jack ambaye kila kukicha amekuwa akipaza sauti kuwa anasingiziwa hizo tuhuma za usagaji.
" Roho inaniuma kuhusiana na hizo taarifa sijui niongee nini ili jamii inielewe kile ninachokizungumza, ni ngumu sana kufanya kitu hicho ambacho najua hamimpendezi mungu kivyovyote vile" alijitetea wolper.

Kauli Gee imesababisha watu kujiuliza wakati anafanya mahojiano na bab kubwa alipata ridhaa ya mwenzake?au aliamua tu mjibia tuhuma?
WEWE MDAU UNASEMAJE KUHUSU HILI?JE NI KWELI MSAGAJI AU ANASKNGIZIWA?
Source:
Bab kubwa magazine & Sani

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>