Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere, akiwasili katika Hospitali ya Kairuki kusubiri mwili wa marehemu. Steve alivalia tisheti yenye ujumbe 'Why always me'.
Ni majonzi kwa kila mmoja aliyefika kuusubiri mwili wa marehemu Tyson Hospitali ya Kairuki, Mikocheni, Dar.
Msanii wa filamu za Kibongo, Kelvin akitoa hisia zake kwa mwandishi wetu juu ya kifo cha mwongozaji filamu, George Tyson.