Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

TUMEFANIKIWA KUPATA PICHA ZAIDI ZA MAJAMBAZI YALIYOUA MTU MMOJA ARUSHA....

$
0
0

 



habari zinasema Huyu baba alikuwa church katoka kaacha watoto ktk gari akawa ameenda kununua gazeti wakati ananunua akaona majamaa wawili wanamzonga mdada wa bureau akaenda kumsaidia kumbe kulikuwa na majamaa mengine ktk pikipiki wakaona mzee anawaletea wenge ndo wakamshindilia za kutosha mh majanga

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles