Wapenzi wa na Washabiki wa Muziki wabongo wanaoishi mbelezzzzz New York City/USA na vitongoji vyake toka juzi wamekuwa wakituma ujumbe mzito kwa this blog wakilia machozi mazito kwa wanachokiita uhuni waliofanyiwa na show hii ya Super Mega Star Diamond Platznumz. Kwanza walilipishwa USD $ 40 kama kiingilio na wanasema kwamba Diamond aliingia kwenye ukumbi Saa Nane za usiku na kuimba kwa nusu saaa tu show ikaisha. Uzoefu wangu wa New York City/USA na entertainment ni kwamba sio rahisi kwa Mwanamuziki yoyote kutoka Tanzania kuweza kufanikiwa kufanya Show at downtown New York City, never kwa sababu Wabongo sio wengi na kutokana na mazingira ya kimaisha sio rahisi kujaza wabongo kwenye kumbi za Downtown so wote huishia kupigia Elizabeth/New Jersey kwenye Club moja hivi very local ambayo mara ya mwisho Mr. Nice alipigia hapo akiwa bado kwenye chart. From my experience kuchelewa kuanza kwa this show juzi ilikuwa ni kutokana na Promoters wake waliokwisha mlipa tayari kuhangaika kujaribu kurudisha hela yao kwa kiingilio cha mlangoni kwa sababu ndio the only pleace they have kuweza kurudisha hela yao, sasa kama sio nyingi ni wao ndio wanaomchelewesha Super Star kuja wakiamini kwamba watu watajaaa, so poleni sana washabiki wa muziki huko kwa mkasa huu mzito uliowakuta lakini nawaambieni kwamba Super Mega Star Diamond Platznumz hana kosa lolote yeye amelipwa na anaambiwa what to do na waliomlipa, hawezi kuingiz ukumbini kinyume na matakwa ya waliomleta, wao ndio wanaotakiwa kujibu hizo lawama and I hope they will do that now!! - Le Mutuz System