Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

MAMIA YA WAKAZI WA MOROGORO WAJITOKEZA KUUGA MWILI WA MTOTO NASRA(MTOTO WA BOKSI),NA AMEZIKWA LEO PICHA 20 HIZI HAPA

$
0
0

Mamia ya wakazi wa Mkoa wa Morogoro waliojitokeza Kuuga Mwili wa mtot Nasra

 Mwili wa mtot Nasra ukipelekwa makaburini Kuzikwa
 Waombolezaji wakiwa Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, kuaga mwili wa mtoto Nasra Mvungi.

 Mfanyabiashara, Al Saed Omary aliyefanikisha kuleta mwili wa marehemu Nasra kutoka Dar es Salaam.
 Waombolezaji wakiingia katika mabasi ya Abood, kwenda katika maziko.

 Mazishi ya mtoto Nasra yaliendelea makaburi ya Kola mkoani Morogoro.
 Mbunge Abdulaziz Abood akiweka udongo katika kaburi la marehemu Nasra na kuahidi kumfanyia hitma baada ya siku 40 tangu kuzikwa kwake.
Mfanyabiashara Al Saed Omar nae akiweka udongo katika kaburi la marehemu.


Picha kwa Hisani ya Father Kidevu Blog

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>