Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

SKYLIGHT BAND YAZIDI KUWAPA SHANGWE MASHABIKI NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE, TUKUTANE TENA IJUMAA HII

$
0
0
DSC_0006

Digna Mbepera (katikati) akiongoza Divas wenzake wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 na Winfrida Richard (kulia) kutoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Ijumaa ya leo pia sio ya kukosa mwendo ni ule ule ma-style mapya kibao yatachezeka!

DSC_0252

Amsha amsha ikianza taratibu....hakuna kama Skylight Band ndio habari ya mujini...!

DSC_0017

Majembe ya Skylight Band...Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakifanya yao jukwaani.

DSC_0023

 Swagga za muziki unapokela ni Hashim Donode na Wnifrida Richard waki-feel upigaji wa vyombo vya Skylight Band.

DSC_0038

Aneth Kushaba AK47"mutoto ya Kisukuma" ikiwapa raha mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar Ijumaa.

DSC_0066

Kikukuu huyo...ana mariongo huyooo...kwiyo kwiyo.....ni ma-style ya kufa mtu kutoka kwa majembe ya Skylight Band Ijumaa iliyopita na Ijumaa hii pia tutacheza.

DSC_0070

Hapana chezea bakongo...!!!

DSC_0124

Vijana wa JembeniJembe wakichapa mzigo..!

DSC_0140

Kikukuuuu huyoooooo ana manyoya huyoooooo Kwikwiyoooooo kwiyoooooo...!

DSC_0133

Sugua sugua mpaka kitakate.....  Mguuuu pandeeee mguuuu sawaaaaa suguaaaa suguaaaaaaaa....Joniko Flower akipiga vocal huku wenzake wakionyesha show ya aina yake.

DSC_0142

Wapiga Bass wa Skylight Band wakishow love kwenye Ukodak kulia ni Tophy pamoja na Emma akiwa na waubavuni kwake.

DSC_0144

Tumetokelezea....!!!

DSC_0094

Winfrida Richard akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band na back vocal ya ukwelii nyuma yake.

DSC_0099

####Team Popoz ####Team wanamanyoya###  ikiongozwa na @Eddivied(kushoto) na Victor Maginga....Blaaaasana!

DSC_0102

Asali ya warembo Sam Mapenzi akipiga vocal kwa hisia kali sana...!

DSC_0256

Twende kazi sasa....hapo bwana...Cause e want e my love o....She no want designer....She no want ferrari....She say na my love o...You belong to me.....And i belong to her o....Uh baby....You go kill e somebody...They say love is blind...But i dey see am for your eyes o o….o eh eh...For your eyes o...Sam Mapenzi akiwachizisha mashabiki wa Skylight Band.

DSC_0268

Sam Mapenzi wewe ni noumaaaa mpaka Meneja kachizika usipime wewe..Aneth Kushaba AK47 akipiga yoweee za kukunwa na burudani ya Sam Mapenzi pale anapogusa zile za Swagga za Kinigeria...!!

DSC_0275

Moses Kinanda nae kwa sifa kabisa kikipuliza vilivyo..!!

DSC_0237

Shabiki wa Slylight Band akichizika jukwaani(hicho kiatu Lady Gaga aingi ndani) baada ya kukunwa na wimbo wa "Happy" uliokuwa ukiimbwa na Aneth Kushaba AK47.

DSC_0239

Happy...Happy..Happy...., bring me down...Can't nothing, bring me down...Love is too happy to bring me down...Can't nothing, bring me down..I said bring me down.... palionagaje wewe tu umekosekana....!.....Kwa picha zaidi ingia hapa

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>