Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

UNAAMBIWA BAADA YA VIFO MFULULIZO, MASTAA BONGO WAMRUDIA MUNGU

$
0
0
Blandina Chegula ‘Johari’ amesema kufuatia vifo vya mfululizo vya wasanii, kwa kiasi kikubwa wasanii wamebadilika kitabia.
Akipiga stori na paparazi wetu alisema, wasanii hao wamejitambua kuwa duniani watu wanapita, jambo ambalo kwa muda mrefu walikuwa wamelisahau na kuponda raha mfululizo.
 Tangu wenzetu wafariki mfululizo, wasanii wengi tumepata mshtuko na kujitambua, naona wengi wamebadilika, wamenyooka na kuanza kumrudia Mungu
alisema Johari.
Vifo vya wasanii vilivyotokea hivi karibuni ni pamoja na cha Adam Kuambina, Sheila Haule ‘Recho’ na George Tyson.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles