$ 0 0 Hii ni noma anasherekea baada ya kumaliza kifungo chake cha takribani miezi minne.Angalia anavyojirusha na wana hapa yaani ni bonge la shangwe.Chris aliachiwa alitoka jela mwezi huu tarehe 2.