Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

BREAKIN NEWZZZ:- MBONGO MWINGINE MWENYE UTAJIRI WA AJABU AJIUA SASA HIVI KWA RISASI ARUSHA SOMA HABARI KAMILI LIVE!!

$
0
0

#BreakingNews  Kijana matata Richard Mollel pesa chafu kajipiga risasi Arusha Yaani ndio nimetokea hapo kwake kwani ni ajabu kabisa.Alikuwa na girl friend wake kwenye gari kufika eneo la Mount Meru akagonga Hiace kwa nyuma gari ikabonyea lakini yeye na mpenziwe wakatoka wazima bint anadai baada ya dakika km 2 akahisi kizunguzungu akaanguka chini kuja kushtuka anaona watu wengi na kijana naye kutoka hapo akatimka mpaka karibu na nyumbani kwake ndio kujipiga risasi na kufa.Sasa bint anaulizwa mlikuwa na ugomvi anasema wala yeye mwenyewe anashangaa kilichomkuta keshatoka mzima kwenye ajali kukimbia na kwenda kujiua.Ni kijana wa 86 yaani mdogo kabisa na ndio pesa imekubali na baba yake ni mgonjwa yuko hoi muda huo yenyewe alikuwa amepigiwa cmu na dada zake aende kumuogesha maana ni mtt pekee wa kiume na ndio alikuwa anaenda sasa hawajui ni kitu gani kilimkumba kuamua kujiua #R.I.P #RichardMollel




Kijana matata Richard Mollel pesa chafu kajipiga risasi Arusha

Yaani ndio nimetokea hapo kwake kwani ni ajabu kabisa.Alikuwa na girl friend wake kwenye gari kufika eneo la Mount Meru akagonga Hiace kwa nyuma gari ikabonyea lakini yeye na mpenziwe wakatoka wazima bint anadai baada ya dakika km 2 akahisi kizunguzungu akaanguka chini kuja kushtuka anaona watu wengi na kijana naye kutoka hapo akatimka mpaka karibu na nyumbani kwake ndio kujipiga risasi na kufa.Sasa bint anaulizwa mlikuwa na ugomvi anasema wala yeye mwenyewe anashangaa kilichomkuta keshatoka mzima kwenye ajali kukimbia na kwenda kujiua.Ni kijana wa 86 yaani mdogo kabisa na ndio pesa imekubali na baba yake ni mgonjwa yuko hoi muda huo yenyewe alikuwa amepigiwa cmu na dada zake aende kumuogesha maana ni mtt pekee wa kiume na ndio alikuwa anaenda sasa hawajui ni kitu gani kilimkumba kuamua kujiua
‪#‎R‬.I.P ‪#‎RichardMollel‬


Rajabu Mmbaga


13 minutes ago
hello bro..
mimi ni mpenzi sana wa blog yako na huwa nasoma sana habari zinazoandikwa kila siku kwenye blog hii. Ila katika habari inayomuhusu Richard Mollel kujipiga risasi mwandishi amepotosha ukweli wa mabo
POWA LETE UKWELI WA MAMBO NOW
Huyu dogo ni jirani yangu hapo Kimandolu ya juu..sio tajiri ni kijana tu mtafutaji tena wa kawaida hana hela na wala yeye sio mtoto pekee wa kiume katika familia yao
Pia ni kweli kwamba baba yake ni mgonjwa mahutiuti lakini mpaka sana hatujajua sababu ya yeye kujiua na hata hiyo pistol alioitumia sio yake ...siunajua mambo ya vijana sijui alimwazima nani


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>