Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Riyama wa bongo movie atoa ya moyoni:Nikifa sitaki kusifiwa

$
0
0

RIYAMA Ali mwigizaji wa kike asiye na kashifa katika tasnia ya filamu Bongo, amefunguka kwa kusema kuwa kama kuna msanii mwenzake au mtu mwenye mapenzi naye angependa kama ana sifa kuhusu yeye katika umahiri wa kuigiza na mengineyo basi atumie nafasi hiyo akiwa hai, haitaji kusifiwa akifariki kwani anaamini kuwa sifa hizo hatazisikia.

 “Nasema mapema kabisa sitaki kusifiwa nikifa, sifa mtu uipate ukiwa hai kama ni faida au kufurahia mwenyewe ujionee lakini nimeshafumba macho kuna faida gani, sisikii sioni haya ya nini kwangu miye?,”anasema Riyama.
 Riyama
Msanii huyo amesema kuwa imekuwa tabia kwa baadhi ya wasanii kuleta maigizo katika misiba ya wasanii inapotokea.Mara nyingi waonapo televisheni hujipanga kwa ajili ya kuhojiwa na waandishi  na  kujifanya  kuwa  na urafiki  na  marehemu  hata  kama  walikuwa  na  ugomvi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>