$ 0 0 STAA wa Bongo Fleva,Nuhu Mziwanda amepondwa na mashabiki wake mtandaoni baada ya kujichora tattoo yenye jina la mpenzi wake ambaye pia ni msanii mwenziye Zuwena Mohamed ’Shilole ’ambapo wamemuhoji kama wakiachana atachoma tattoo hiyo kwa pasi?