Huyu ni Miss Tanzania namba tatu 2003/04, Nargis Mohamed, kwa sasa ni mfanyakazi katika BANK flani na ni mama wa mtoto mmoja....Unakumbuka enzi za OSHENI SANDO....na Video ya ZALI LA MENTALI....ilikuwa ni shidaaah... Kabla ya kuigia kwenye BONGO MUVI....Lakini hadi sasa MUTOTO bado yupo SUPA....Jionee Picha zake za HIVI SASA!