Kijana mmoja muda huu ambaye jina lake halijafahamika Mara moja amekutwa Bila aibu Akimlawiti mtoto wa miaka 12 maeneo ya PPF Njiro.
Tukio zaidi tazama hapa chini
Huyu ndiye dogo ambaye amelawitiwa ana umri wa Miaka 12.
Amani Athumani akiwa Chini ya ulinzi baada ya kukamatwa akiwa anamlawiti kijana wa Miaka 12
Mashuhuda wakiwa wanamshangaa kijana huyo aliyebaka
Wananchi wenye Hasira kali wakiwa wanataka kuanza kumtandika kijana huyo...
Mpaka sasa kijana huyo yupo eneo alililo kamatwa Njiro karibu na PPF.
Picha na Arusha yetu Blog