Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

LIVE FROM SINTAH JLO WA BONGO BLOG & LIVE UNFILTERED COMMENTS!!

$
0
0

EAST AFRICA INT SCHOOL SIKIENI KILIO CHA WAZAZI.......


Shule ya East Africa Int School baadhi ya wazazi walalamika utendaji wao, na shughuli za kuwarudisha watoto usiku wa saa nne

shughuli  ya xmass concert ilichelewa kuanza saa kumi na moja jioni na watoto waliambiwa wawe stand by saa sita mchana ila walifuatwa saa nane mchana shughuli ianze badala yake walifuatwa saa nane mchana na shughuli kuanza saa kumi na moja, huku baadhi ya walimu wakipigiwa na kujibu jeuri kwamba wapigieni madereva..
isitoshe swala la muda kuzingatiwa ni muhimu,  kuna wazazi wengine hawana maids sasa unaposema saa sita halafu unamfuata mtoto saa nane unamuwekea mzazi ktk mazingira magumu utakuta kaomba ruksa dk moja ofisini lakini mnachelewa kuwafuata na kuwajibu wazazi mbovu....

zaidi ya hapo watoto walipombiwa wakae standby kufuatwa majumbani  saa sita wazazi wakawapa light food wakitegemea hela walizo contribute watoto watapata chakula, ila ilikuwa ndivyo sivyo watoto wameambulia patupu baada ya kucheza na kuruka ruka na k perfome vizuri ktk concert yao, hivi kweli watoto wa std 1 wanaweza kuvumilia haya? 
kibaya kilitokea muda wa concert ulipoisha ulikuwa ni saa mbili usiku na walimu walikimbia kwenda majumbani kwao wakawaacha watoto kujitafutia mabasi peke yao, wengine wakiwa wanalia sana kwakuwa school buses were parked outside na eneo waliofanyia party kenton school Africa sana  kuwa giza totoro, watoto walihangaika wenyewe kutafuta school buses n most of them got home late...

Hivi watoto wangebakwa/ kuwa molested ingekuwaje? hata kama mnawaamini drivers, usiku ule hebu walimu na principal wa shule sikieni kilio kilichowakera wazazi wengi kama mnaandaa party basi wawe katika usimamizi wa walimu mpaka mwisho na isiwe mpaka saa tatu usiku mna deal na watoto wadongo sio secondary tu ndio maana walimu wengi kwa aibu zenu mlizima simu kwakuwa wazazi walikuwa wanawasumbua...



je mwalimu kama una mtoto wako anasoma kikatokea kitendo hicho utafurahia/kukikali kimya?? kuweni na utu haswa mnapo deal na watoto wadogo.. 

Wazazi waliokereka




  1. Ndo shida ya ma int.skul uzungu adi welfare ya watoto mxiuuuu wajirekebishe walimu its not fair
    Reply
  2. hawa walimu wanastahili adhabu kali sana, adhabu si iwe kwa wanafunzi asee huu ni uozo na kukosa principal na kujua umuhimu wa watoto. shwan hawa wanajali pesa tu, wachukulieni hatua kuwanyamazia hawatabadilika tena wafaten shuleni na muaambie shwain hawa
    Reply
  3. Unamkalisha mtoto getini tangu saa sita mchana juani mtoto anafatwa saa nanee unapiga simu kwa class teacher anajibu kunya kwani hujasoma barua na simu anakata utadhani kapiga yeye, mimi kama mzazi niliamua kutoka ofisini nikaaenda kwa hiyo concert kama mzazi you won't wanna miss your kid performing kwa kweli ilikuwa bahati kwenda coz mtoto aliniona kama Mungu njaa inauma,watoto hawakupewa hata Maji so disorganize nimefika pale sa tisa mchana, principal anakwambia itaanza sasa hivi wazazi wanadanganywa kama watoto vile na wazazi walikuwa wavumilivu sana by the time shughuli ianze ni saa kumi na moja watoto wameshindia ice cream za Bakresa tena wananunuliwa na wazazi wao then watoto wanashare na wenzao ambao wazazi hawakuweza kufika katika eneo la tukio.

    Principal anakwambia it will take only an hour, tangu saa kumi na moja jioni hadi saa moja natoka pale niliamua kumbeba mtoto wangu tukasepa giza balaa taa ni za x-mas na eneo lilivyo kubwa, Mzazi mmoja alipata sana wasiwasi mwanae hajarudi akimpigia simu class teacher kazima simu hadi alipowasiliana na mimi nikamweleza yaliyojiri.

    kawaida mzazi ukirudi home unategemea ukute wanao wote wako ndani but sio kinyume mzazi ndio umsubiri mtoto hujui kapatwa na janga gani na maswahibu gani na dunia yetu hii ya sasa isiyoaminika.

    Basi walau walimu waombe msamaha kwa kuwachelewesha watoto shenzi zao wanajeuri balaa yaani itabidi tukacheki kama permit ziko valid .....Mende kabisa mtarudi kwenu kwa miguu vichwa kama Mabox
    Reply
  4. SINTAH mimi sijawah kabisa ku comment ila hili limenigusa sana.hii shule kama kweli hicho kilitokea inabidi ifungiwe kwa muda wabadili hao waalimu na hao waalimu wasio na utu wafutiwe kabisa licence zao milele.ualimu ni karama kama ilivyo udaktari, hasa wa watoto wadogo, sasa hao waalimu waliokosa utu na staha ni wa kazi gani.kwanza kitendo cha mwalimu kujibu mzazi kunya inaonyesha jinsi gani hafai kuwa mwalimu. i take a look kwenye shule kama sunrise, wale waalimu wamefundwa aisee, wamepikwa wakapikika.kwanza kila basi lina mdada ambae lazima yeye afike wa mwisho baada ya watoto wote kushushwa.mtoto wako akishushwa hakuna dada siku hiyo huyo dada hana kazi na dereva hana kazi.waalimu wa darasa wako responsible vibaya sana na watoto wao.eti umpigie mwanao hajafika aisee atapiga simu kuanzia kwa trans manager, dada wa kwenye gari,dereva na kitaeleweka na mtoto kama kacheleweshwa utapewa maelezo yakutosha na misamaha yakutosha maana ukireport tu ni huo msafara wote hauna kazi.thats what we call shule.hichi kitu kimeniuma sana na kama itabidi wafungiwe tu aisee.wazazi wa watoto msikubaliiiiii.mpaka kieleweke.
    Reply
  5. Kwanza huyo mwalimu aliyejibu mbovu ndo ningemuombea ruhusa nikamshughulikie,Nachoshindwa elewa ni kwamba kwann mwalimu akimbilie nyumbani nakuacha watoto hapo,,kulikuwa na umuhimu gani wa wao kuja wange waambia wazazi waje basi.
    Kikubwa kuwa na PTA(Parent Teachers Association)ambapo meeting zake mtoe kero kama hizi,jamani uchungu wa mtoto anaujua mzazi mambo gani ya kumweka mwana na njaa kutwa???
    Ushauri kwa Wazazi wa East African Intl. School either mjiunge mtoe kero hii kuu kwa principal au Mhamishe watoto shule Im sure if you can afford EAIS mnaweza pata shule nzuri kwaajili ya mtoto at this price range.
    Reply
  6. wadau tusishangae sana ile shule walimu ni Wakenya namnajua roho za majirani zetu, yaani mie mwanangu aliingia saa nne hapa nilipo natafuta shule nyingine umeona wapi mwalimu anawahi nyumbani anamuacha snyuma mwanafunzi arudi na dreva ndani ya gari peke yao wakilala ktk gari? na kama yule wa mwisho kupelekwa ni katoto kakike yaani wamenitubua nyongo hii shule haifai shule yenye maadili kama sunrise watoto wanakuwa na mwalimu wa kike ndani ya gari kwanza mabasi yao yanajaza sana kama mbagala posta watoto wanasimama sana kutoka shule kurudi nyumbani tunalipa bei kubwa service mbovu
    Reply

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>