Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Rais Kikwete azua jipya la Diamond Platnumz Dodoma.

$
0
0
IMG_7657
Mh.Rais Kikwete ametokea kutaja tena jina la Diamond Platnumz, akiongelea mengi waliofanya kipindi walipokutana na mkali huo wa AfroPop, Diamond Platnumz, akiwa anafunguka wakati alipokuwa anaongea na wasanii kule jijini Dodoma, jambo la 
kushangaza zaidi ambalo kila mtu hakuweza kuamini ni pale Mh. Rais alipokuwa anataja wasanii wakubwa mbali mbali akiwemo, Ludacris,Trey Sings, Lil Wayne, Usher Raymond na wengine wengi tena pamoja na mameneja wao.


Jakaya Kikwete, president of Tanzania, answers questions at a press conference at the United Nations (UN) building in Addis Ababa, Ethiopia, during the 12th African Union (AU) Summit.
Mh.Raisi alizidi kufunguka kwa jinsi Diamond Platnumz alivyomfurahisha katika uwakilishi wake wa tuzo za Mtv “Nilikutana na Diamond Nje ya nchi, nikamkaribisha lunch akaniambia amekuwa nominated kwenye tuzo za MAMA na za BET, nimeangalia MAMA, Diamond hakushinda ila aliperform vizuri sana na watu wakamfurahia sana”- alifunguka Mh.Raisi. Nadhani hakutakuwa kutokea na Raisikama huyu mwenye kujua mambo mengi kuhusu sanaa, ni raisi wa kipekee ambaye anafaa hata kuwa meneja wa wasanii.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>