Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

HAMISA: SIWEZI KUSHEA PENZI NA WEMA

$
0
0


KIAPO! Modo maarufu Bongo, Hamisa
Mobeto amefunguka kuwa katika maisha
yake, kamwe hawezi kushea penzi na
mwigizaji Wema .
Modo maarufu Bongo , Hamisa Mobeto.
Akistorisha na Ijumaa Wikienda, Hamisa
alisema watu wamekuwa wakimkosea
kumtaja kuwa anaweza kutoka na Diamond
Platnumz wakati hawezi kufanya hivyo hata
iweje ! 
“Siwezi kushea penzi na Wema hata siku
moja, niaminini, nina maisha yangu mengine
kabisa wapo wanaoweza kufanya hivyo lakini
si mimi , ” alisema Hamisa .
credit

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>