SKANDALI! Prizenta maarufu Bongo, Maimatha Jesse amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukwaa skendo ya utapeli kutokana na dawa za kukuza maungo anazoziuza kuwa hazifanyi kazi.
Sosi ameibua utapeli huo wa Maimatha kwa kusema:
Baada ya kunyaka madai hayo, Ijumaa Wikienda lilimtafuta Maimatha akakanusha: “Hao wamejisikia tu kuongea hata siwafahamu na wala sijawahi kupata kesi kama hizo, mbona nilishawauzia wengi? Mimi mwenyewe zimenisaidia, wazushi tu,” alisema Maimatha.