UPINZANI NI MAJANGA SASA NDANI YA BUNGE: Halima Mdee amemwambia Mbunge mwenzake wa Chadema kama anataka kwenda CCM ajivue Ubunge then Rais Kikwete amteue kuwa mbunge tena. Mdee anadai Letcia Nyerere anaudhalilisha mara kwa mara kuwaambia wenzake wa upinzani kuwa wanalalamika sana. Na bado mtatafutana sana huko upinzani!