Batuli na Patcho MwambaStar wa filamu nchini mwenye mvuto wa aina yake Yobnesh Yusuph "Batuli" ameamua kuuza mihogo ili kujikimu kimaisha baada ya hali kuwa ngumu. Hayo yameajiri katika filamu mpya ya Uncle Kiepe ambapo amecheza na Patcho Mwamba na Philemon Lutwaza.