$ 0 0 Kulikuwa na foleni kubwa na gari hili lilikuwa kati kati ya reli mwenye gari alifanikiwa kukimbia baada ya kusikia treni inakuja na hana pa kwenda na gari akatoka na kukimbia, habari zaidi later!!