Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

SUPER STAR WEMA SEPETU HATIMAYE AMCHANA LIVE MZUSHI WA UJAUZITO WAKE KULE KWA WAJANJA MWAKA-INSTA LIVE!!

$
0
0
Miss Tanzania 2006 pia Actress mwanadada mwenye   nyota ya ajabu ambaye anakimbiza  hapa Tzee Wema Sepetu a.k.a Mrs .Nasibu Abdul alias Daimond Platinum  amemtaja mtu ambaye alimzushia kwamba anaujauzito kwenye mtandao mmoja wa kijamii uiitwao Instagram kuwa ni shabani amri ambaye anapatikana kwa jina ili(@shabani amri5)

Halafu usione nakaa kimya mkaona labda siumii kizazi ulinipa wewe?….. mpaka uniamrishe nizae…Sina kizazi sasa …kama unaweza nipe  nizae..Dah! nawavumilia tu …mi pia binadamu nina moyo…unahisi kwa akili yako sitaki mtoto  ama nini? …Zaa zaa zaa …kama wewe umebarikiwa  kuzaa hongera..Im tired of this kuzaa bullshit….!!!Leave me  and my Life alone “ aliandika wema kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>