Anaitwa Batuli (jina la kisanii), diva wa bongo movie..inasemekana ndiye mwenye mvuto zaidi kuliko wasanii wote wa kike katika tasnia nzima ya Bongo movie...jionee hizi picha then tuambie unakubalina na hii hoja au wewe wadhani ni nani ana mvuto zaidi?!
↧