Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA AN ALERT ONA THE GADEMU MATAPELI WA MIKOPO MITANDAONI!!

$
0
0

@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!:-MY PEOPLE PUNGUZENI TAMAA UKIONA UMETUMIWA UJUMBE WA AINA YOYOTE KUHUSU MIKOPO NA KWENYE WEB EMAIL YAO KUNA MANENO YAFUATAYO::-

- www.wapka.mobi
 
UJUE NI MATAPELI WANATUMIA JINA LA MWENYE ACCOUNT BILA KUJUA, TAFADHALINI PEOPLE USITUME PESA ZAKO UTAIBIWA TU, DUNIANI HAKUNA MKOPO AMBAO ILI UUPATE NI LAZIMA UTOE PESA ZAKO KWANZA HATA SENTI TANO, HAKUNA WACHENI TAMAA HAKUNA NJIA YA MKATO KWENYE LIFE TUFANYE KAZI KWANZA!!, JIONI NJEMA SANA!! - LE MUTUZ


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>