Muimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka THT, Amini Mwinyimkuu jana June 22 ameukacha ukapela kwa kufunga ndoa na msanii Farida Bashir maarufu kama Namcy Vana aliyeimba ‘Kantangaze’.
Tazama picha hapa...
Amini akiwa na mkewe Ndoa hiyo imefanyika nyumbani kwa Namcy, Magomeni Dar es Salaam.