Mjumbe wa NEC Ndg. Magesa akitoa nasaha wakati wa mahafali ya Shule ya Msingi na chekechea ya Lassana, Mbagala Kuu, Jimbo la Kigamboni Wilaya ya Temeke leo, Mgeni rasmi aliwaasa wanafunzi wasome kwa bidii na Maarifa na wazazi washiriki kikamilifu katika malezi ya Watoto, pia aliwapongeza Walimu wote kazi nzuri.
Watoto wa chekechea wakipokea vyeti
Kijana wa shule ya msingi aliyefanya vizuri akienda kuokea zawadi
Mgeni rasmi akitoa zawadi wa Laptop kwa Mkurugenzi wa Shule
Walimu wakifurahi zawadi ya keki