Mh juma nkamia cjui alikuwa anawaza nini hapa kwa sababu kwenye sherehe nzima alionekana mtu ambaye hana raha kabisa,Eee Mungu Msaidie Mh wetu apunguze mawazo
Yani huwezi amini kila mtu alikuwa akimtazama Mh Nkamia kwa kile kilichoonekana alikuwa mtu wa mawazo sana lakini baada muda wakaja baadhi ya waheshimiwa wenzake akiwemo sugu,Shabibi ili kumpa kampani na furaha ilirudi kama mwanzo baada ya kuwa mpweke muda wote
hali ikawa hivi baada ya Mh sugu,Shabiby,na Salvatory Macheml |