HUYU SI MWINGINE BALI NI MWANAMUZIKI WA MIONDOKA YA KIZAZI KIPYA AITWAYE ALLY KIBA,HUYU NI MSANII TUNAYE WEZA KUSEMA NI WA KIPEKEE KWA HAPA TANZANIA KUTOKANA NA KUWA NA KIPAJI CHA KHALI YA JUU HASA SAUTI YAKE TU INATOSHA KUDHIHIRISHA KUWA NI MWANAMUZIKI HASWAA..MTANDAO HUU WA THE CHOICE ULIWEZA KUFANYA UTAFITI NA KUONA HAKIKA ALLY KIBA AKISHILIKISHWA KILA NYIMBO HUFANYA VIZURI PIA HUWA NA VIONJO AMBAVYO HAVIMKINAI MTU YEYOTE KUWEZA KUUSIKILIZA WIMBO HUO AMA KASHIRIKISHWA AU KAIMBA MWENYEWE.TIMU NZIMA YA THE CHOICE INAMTAKIA KILA LA KHERI MSANII ALLY KIBA KATIKA KAZI ZAKE ZA MUZIKI.
↧