LEO KUMEKUWA NA HABARI ZA UZUSHI ZA KIFO CHA AJALI YA GARI CHA WAZIRI WA SASA WA ELIMU MHESHIMIWA KAWAMBA, NI KWAMBA NI HABARI ZA UONGO NA HAZINA MASHIKO WAZIRI KAWAMBWA YUPO BELGIUM KWA ZIARA YA KIKAZI TOKA MWISHO WA WIKI ILIYOPITA. - BLOGU YA WANANCHI