Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Majanga Binti wa darasa la 7 alawitiwa na Njemba watatu

$
0
0

Denti  wa kike wa darasa la saba anayesoma katika Shule ya Msingi Chanzige B iliyopo Kisarawe, Pwani aliyefanyiwa unyama wa kulawitiwa na vijana watatu.




Mwanafunzi wa kike wa darasa la saba anayesoma katika Shule ya Msingi Chanzige B iliyopo Kisarawe, Pwani aliyefanyiwa unyama wa kulawitiwa na vijana watatu. 

 Denti mmoja wa kike wa darasa la saba anayesoma katika Shule ya Msingi Chanzige B iliyopo Kisarawe, Pwani amejikuta katika wakati mgumu baada ya kulawitiwa na kusababishiwa maumivu makali sehemu zake za siri.

Simulizi ya binti huyo inayouma sana, inaeleza kuwa denti huyo alifanyiwa unyama huo na vijana watatu ambao bado hawajafahamika majina yao mara moja lakini amekuwa akimtaja mmoja kwa jina la Musa.
Tukio hilo lenye sura ya majonzi hasa kwa wazazi na watoto, lilitokea hivi karibuni Kisarawe mkoani Pwani lakini ilifanywa siri kwa muda mrefu na mtoto huyo kukaa bila matibabu.
Chanzo chetu cha habari kinasema kuwa, shangazi wa mtoto huyo ambaye anaishi naye ndiye sababu ya kutopata tiba, kwani anadaiwa kuchukua kiasi cha shilingi 200,000 kutoka Musa anayetajwa kuwa mmoja wa wahusika kama kifunga mdomo.Isome zaidi hapa inasikitisha>>>>>>>

Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>