Kama ukifanikiwa kuifahamu bajeti ya Jacqueline Wolper katika uvaaji wa nguo, kununua viatu au kutengeneza nywele, unaweza ukabaki mdomo wazi kwakuwa hakuna siri ni kubwa mno. Muigizaji huyo wa filamu anaweza kuongoza kwa waigizaji wa kike wanaopigilia pamba zaidi lakini je, anapendeza akivaa kama tomboy ama akivaa mavazi ya kike ya kawaida? Tuambie..
Kama Tomboy
Kama msichana wa kawaida