Quantcast
Channel: Blogu ya Wananchi
Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

IMELDA AMALIZA BIFU LA WEMA SEPETU NA KAJALA

$
0
0



Hatimaye arobaini ya mtoto wa imelda yamaliza bifu la wema sepetu na kajala, hot in town yesterday ndio ilikuwa ni 40 ya mtoto wa mwandishi wa magazeti ya global publishers, so tukio hilo lilifatiwa na uwepo wa mastaa wengi wa muziki na bongo movie, so due to that ikitokea wamejikuta wema sepetu na kajala wamevaa sare n finally ugomvi ule ukawa solved, Okay due to that msanii kajala kutokana na mapenzi yake kwa kajala alimnunulia mtoto huyo zawadi zenye thamani ya laki 8 ooh God, thats gud, mtandao wa makubwahayablog umefurahiwa na tukio hilo


Viewing all articles
Browse latest Browse all 32622

Trending Articles